Uzio wa Umeme
Ongeza ulinzi wa mipaka ya kiwanja na majengo.
Imepangwa kulingana na eneo lako.
Tunatathmini eneo na kupanga uzio wa umeme, alama za tahadhari, vifaa vya kudhibiti na ufungaji wa kuzingatia usalama.
Tunachoweza kukusaidia
Uchaguzi wa vifaa na mpango wa mwisho wa ufungaji utathibitishwa baada ya tathmini ya eneo na mahitaji yako.
Ufungaji wa Electric Fence Dodoma, Tanzania
Ufungaji wa electric fence Dodoma na Tanzania kwa nyumba, makazi, mashamba na maeneo ya biashara: energizer, fence juu ya ukuta, alarm na matengenezo.
Electric fence inaweza kufungwa juu ya ukuta uliopo?
Ndiyo, brackets za juu ya ukuta ndizo hutumika zaidi kwa nyumba na makazi. Fence inayosimama yenyewe inafaa mashamba na viwanja vya wazi.
Electric fence inafanya kazi umeme ukikatika?
Energizer inaweza kuwekewa betri ya akiba, na baadhi ya maeneo hutumia sola, ili fence iendelee kufanya kazi umeme ukikatika.
Uzio wa Umeme Dodoma na Tanzania nzima
Wilaya za Dodoma: Jiji la Dodoma · Chamwino · Bahi · Kongwa · Mpwapwa · Kondoa · Chemba
Mikoa: Singida · Tabora · Dar es Salaam · Pwani · Morogoro · Tanga · Arusha · Kilimanjaro · Manyara · Mwanza · Geita · Shinyanga · Simiyu · Mara · Kagera · Kigoma · Katavi · Rukwa · Mbeya · Songwe · Iringa · Njombe · Ruvuma · Mtwara · Lindi · Mjini Magharibi (Zanzibar) · Kaskazini Unguja · Kusini Unguja · Kaskazini Pemba · Kusini Pemba



